**Yanini Malumbano – Lyrics (brackets removed)**
Yanini malumbano, yanini maneno?
Najiweka pembeni naipusha msongamano
Bora nitulie, ningoje changu na mie
Mollah nijalie haya yasijirudie
Yanini malumbano, yanini maneno?
Najiweka pembeni naipusha msongamano
Bora nitulie, ningoje changu na mie
Mollah nijalie haya yasijirudie
Kisa na mkasa yalionikuta Dar,
Subiri kwanza machozi nafuta
Nikikumbuka juzi nilipopataga,
Msichana mrembo mtam’ kama amabatata
Nilivyo pata nilidhani nimepata kumbe nimepatikana
Mitaa ya kati sasa sitaki kupita, mwenzenu mi naona noma
Umalaya chart kashika, anagawa kwa kila rika
Umalaya chart kashika, anagawa kwa kila rika
Ebu shika talaka nendaaa nendaa nenda
Mambo uliyotenda, kuyavumilia nimeshindwa
Nendaaa, nendaaa, nenda hata kama zamani nilipenda
Yanini malumbano, yanini maneno?
Najiweka pembeni naipusha msongamano
Bora nitulie, ningoje changu na mie
Mollah nijalie haya yasijirudie
Yanini malumbano, yanini maneno?
Najiweka pembeni naipusha msongamano
Bora nitulie, ningoje changu na mie
Mollah nijalie haya yasijirudie
Mengi nimevumilia, hayapungui yanazidia
Hivi kwanini my dear ama haujui kwamba naumia
Pombe kichwani umeingia, eti saa nzima walia
Mimi gheto nishajilalia, kitandani ukatapikia
Kigezo sikukupenda, eti kupenda nisikopendwa
Sasa kwanini unanitenda au ndo malipo ya kukupenda wewe
Nisichopinga ni kwamba ukweli nilikupenda wewe
Nilichoshindwa ni kuvumilia unayotenda baibe
Nendaaa, nendaaa, nenda hata kama zamani nilipenda
Yanini malumbano, yanini maneno?
Najiweka pembeni naipusha msongamano
Bora nitulie, ningoje changu na mie
Mollah nijalie haya yasijirudie
Yanini malumbano, yanini maneno?
Najiweka pembeni naipusha msongamano
Bora nitulie, ningoje changu na mie
Mollah nijalie haya yasijirudie
Washkaji walinambia kwamba “demu nikiruka njia”
Nilidhani wamenipangia kunitania nikapuuzia
Chezo lilipoanza nilidanganyaga naenda Mwanza
Kurudi kitu cha kushangaza, nakuta kidume kimejilaza gheto
Nendaaa, nendaaa, nenda aeh
Ebu shika talaka nenda, baby gal baby nenda
Mambo uliyotenda, kuyavumilia nimeshindwa mie
Nendaaa, nendaaa, nenda hata kama zamani nilipenda
0 comments:
Post a Comment